Miongoni mwa changamoto zinazoukumba ulimwengu wasasa ni changamoto ya Malezi. Jifunze namna bora ya kulea watoto na kuwafanya kuwa bora kiroho, kimwili na kiakili pia. Sikiliza sehemu yakwanza ya fundisho hili juu ya malezi ya Watoto linaloletwa kwako na Mchungaji David Mmbaga
0 comments:
Post a Comment