Upendo Wa Mungu( Warumi 8:37)
Ikiwa Mungu yuko upande wetu ni nani atakayetupinga? Maisha ni zaidi ya vile tunavyofikiri. Jifunze Kupitia USHINDI HATIMAYE, Mwamini Yesu, Mwagalie Yesu maana katika YESU TUNASHINDA . 35 Ni nani atakayetutenganisha na upendo wa Kristo? Ni shida? Au taabu? Au mateso? Au njaa? Au umaskini? Au hatari? Au Kifo? Hapana. 37 Lakini katika mambo yote haya sisi ni washindi, naam, na zaidi ya washindi, tukiwa ndani yake yeye aliyetupenda.
JIFUNZE NAMNA YA KUPATA USHINDI HATIMAYE(yohana 8:32-33)
Yesu akawaambia wale waliomwamini, “Kama mkiendelea kutii maneno yangu mtakuwa wanafunzi wangu halisi. 32 Mtaelewa yaliyo kweli kumhusu Mungu na UKWELI HUU UTAWAFANYA MUWE WATU HURU.33 Wao wakamjibu, “Una maana gani kusema tuta kuwa huru? Sisi ni wa uzao wa Ibrahimu. Hatujawahi kuwa watumwa wa mtu ye yote.

Mapambano kwa ajili ya Imani hata itokee nini na kwa gharama yoyote, maisha yetu ya kila siku yapaswa yalingane na Injili ya Kristo na ndipo tutashangilia USHINDI HATIMAYE.
Haya yamehubiriwa na Mchungaji David Ezael Mbaga akiongea na waumini wa jiji la Mwanza kwenye ibada takatifu katika Kanisa la Waadventista Wasabato Mabatini.
0 comments:
Post a Comment